John 7:39

39 aIsa aliposema haya alimaanisha Roho Mtakatifu ambaye wote waliomwamini wangempokea, kwani mpaka wakati huo, Roho alikuwa hajatolewa, kwa kuwa Isa alikuwa bado hajatukuzwa.

Mgawanyiko Miongoni Mwa Watu

Copyright information for SwhKC